Natafuta boyfriend

hongera ngoja waje vijana any way all the best
 
Lady Janet
Tafadhali nafasi yangu hii
 
Nitafute pm tafadhari
 
mi natafuta mke sio girls friend kama unajiona unafaa kuwa mke ni pm
 
Jiandae kukutana na ma fortune hunters, waukaange Roho yako inyauke kama ganda LA muwa LA mwezi uliopita
 

Katiba ya jamhuri ya muungano inaweka wazi kwamba kila mtu ana uhuru wa kuishi,kufurahi na kupata faragha kwa maana ya mpenzi and likely, sasa kwa kuwa elimu umeweka kigezo cha O'level ambacho ni asilimia ndogo sana ya Wenye elimu hiyo ambao wanajimudu kimaisha huoni kwamba ungefuta suala la kuhakiki vyeti ili kupanua wigo wa waombaji wa nafasi?
Na kuhusu suala la ulevi hudhani unaweza kupata mtahiniwa wa nafasi hiyo anayekufaa ambaye anaingiza kipato chake kupitia biashara ya ulevi na vilevi?
 
Brother nimesema elimu kuanzia O'level,pia unaweza kuuza kilevi na usiwe mlevi.
 
Bibi Cheka, karibu sana. Ukihitaji kujua UGORO unapatikana wapi humu, nambie.
 
hebu kuja PM kama unataka kweli mpenzi ila usiwe umezaa
 



samahani, unaishi wapi, watoto wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…