Natafuta boyfriend

Natafuta boyfriend

Weka picha basi tuone kama una chura wa kutosha my..ulikuaga wapi mpaka ukagonga rika hilo hilo huna wa kukupa mambo?au ndio chagua chagua ndio imekuponza sasa ndio unaekea kupatwa kwa uzee ndo unasanuka?hebu weka details zako kwa kirefu nikuchukue mazima baby.
[emoji23]
 
Habari zenu wana JF,

Ninahitaji boyfriend alie serious na awe na ajira awe mkristo
asiwe mlevi awe na elimu kuanzia O'level.

WASIFU WANGU

Mimi nina umri wa miaka 31
Maji ya kunde
Mkristu
Nimeajiriwa
Nina kipato cha wastani tu
Nina jitegemea

Asanteni
Kwa umri wako usiseme unatafuta boyfriend sema unatafuta mume.lakini kaka una maanisha boyfriend Nipo hapa ila sina kazi upo mkoa gani nataka niwe nakupa raha duniani mpaka pale utapopata huyo mume asie mlevi pia mwenye kazi..
njoo pm tufanye yetu najua upo mpweke sana pole baby
 
Habari zenu wana JF,

Ninahitaji boyfriend alie serious na awe na ajira awe mkristo
asiwe mlevi awe na elimu kuanzia O'level.

WASIFU WANGU

Mimi nina umri wa miaka 31
Maji ya kunde
Mkristu
Nimeajiriwa
Nina kipato cha wastani tu
Nina jitegemea

Asanteni
Kwa umri wako usiseme unatafuta boyfriend sema unatafuta mume.lakini kama una maanisha boyfriend Nipo hapa ila sina kazi upo mkoa gani nataka niwe nakupa raha duniani mpaka pale utapopata huyo mume asie mlevi pia mwenye kazi..
njoo pm tufanye yetu najua upo mpweke sana pole baby
 
Ondoa hako kakipengele ka tungi then you will be awarded a boyfriend you have been looking for, mana mim tungi comes first
 
Huyu Dada anaakili mbovu bado anawza bf wa kumgegeta huu ni uchngudoa ulio kubuhi badala ya kutafuta mtu wa kumuoa!
 
Habari zenu wana JF,

Ninahitaji boyfriend alie serious na awe na ajira awe mkristo
asiwe mlevi awe na elimu kuanzia O'level.

WASIFU WANGU

Mimi nina umri wa miaka 31
Maji ya kunde
Mkristu
Nimeajiriwa
Nina kipato cha wastani tu
Nina jitegemea

Asanteni
Njoo pm
 
Habari zenu wana JF,

Ninahitaji boyfriend alie serious na awe na ajira awe mkristo
asiwe mlevi awe na elimu kuanzia O'level.

WASIFU WANGU

Mimi nina umri wa miaka 31
Maji ya kunde
Mkristu
Nimeajiriwa
Nina kipato cha wastani tu
Nina jitegemea

Asanteni
Tafuta Man-friend. Kwa umri wako boyfriend hakufai, atakupwelepweta bure.
 
kama upo serious kweli utampata ila naomba mungu akuongoze kwenye kuchagua... umchague mtakayefanana kuelewana..!
 
~~>>>Miaka 31 bado unaweka vigezo... Kila mwaka linafunguliwa kontena Jipya la Warembo....


Punguza vigezo tuchangamke fursa
 
Wanaume =2.5B
Wanawake= 4.9B

Statistics shows that we are helping you don't put any more requirements next time
 
Back
Top Bottom