Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
HahahhhJiandae kukutana na ma fortune hunters, waukaange Roho yako inyauke kama ganda LA muwa LA mwezi uliopita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahhhJiandae kukutana na ma fortune hunters, waukaange Roho yako inyauke kama ganda LA muwa LA mwezi uliopita
waliozaa watachukuliwa na nani sasa kama mnawatengahebu kuja PM kama unataka kweli mpenzi ila usiwe umezaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umenipata mama twende pm(faragha) kabla ya yote maana hapa kuna wanafki hawakawii kuskia mwanaume mwenyewe anapua ka mume wa shamsa ford.
hilo neno la kitambo labda hujawahi kuliskia.Aiseee mmeshabadili jina tena
Ha haHapa ndipo unaanza kumbuka yule jamaa uliyemtosa kisa humpendi.
Unatamani siku zirudi nyuma lkn haiwezekani. Moyo unauma na kuwaza ila unapiga konde moyo kwa matumain kuwa ipo siku nami nitampata wangu
All the best utampata tu
Naweza kupata mawasiliano yako Lady JanetHabari zenu wana JF,
Ninahitaji boyfriend alie serious na awe na ajira awe mkristo
asiwe mlevi awe na elimu kuanzia O'level.
WASIFU WANGU
Mimi nina umri wa miaka 31
Maji ya kunde
Mkristu
Nimeajiriwa
Nina kipato cha wastani tu
Nina jitegemea
Asanteni
Habari zenu wana JF,
Ninahitaji boyfriend alie serious na awe na ajira awe mkristo
asiwe mlevi awe na elimu kuanzia O'level.
WASIFU WANGU
Mimi nina umri wa miaka 31
Maji ya kunde
Mkristu
Nimeajiriwa
Nina kipato cha wastani tu
Nina jitegemea
Asanteni
Saint Ivuga Bana Je NA Wewe Usiku huo ulikuwa una tafuta nini.By the way tumsaidie ndugu yetu apate Boyifurendi.Umri usiwe kigezo cha kumshambulia. just Remember Age is just a number!Dada yangu wala hutafuti boyfriend wewe upo lonely sana. Sa tisa usiku umemuwaza boyfreind? Si bure ila utapata we sali tu
Hapanawe ni msukuma?
Nimemuomba namba ili nimuombeeSaint Ivuga Bana Je NA Wewe Usiku huo ulikuwa una tafuta nini.By the way tumsaidie ndugu yetu apate Boyifurendi.Umri usiwe kigezo cha kumshambulia. just Remember Age is just a number!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa ndipo unaanza kumkumbuka yule jamaa aliyekupenda kwa moyo wote, aliyejitolea ili awe nawe lkn ukawa busy kuokota mawe huku umeacha dhahabu.
Umekuja kushtuka una mawe mkononi na hayana thamani tena, aliyekushikisha mawe alishasepa siku nyingi.
Kurudi kwa jamaa haiwezekani sbb tayari ameshaoa.
Ukiangalia muda ndiyo unakimbia km unakimbizwa vile, huon mtu ila unajipa matumaini.
Ukiona mwanamke kafikia hatua hii ya kusema mwenyewe ujue maji yamefika shingoni.
ALL THE BEST