Natafuta boyfriend

[emoji23]
 
Kwa umri wako usiseme unatafuta boyfriend sema unatafuta mume.lakini kaka una maanisha boyfriend Nipo hapa ila sina kazi upo mkoa gani nataka niwe nakupa raha duniani mpaka pale utapopata huyo mume asie mlevi pia mwenye kazi..
njoo pm tufanye yetu najua upo mpweke sana pole baby
 
Kwa umri wako usiseme unatafuta boyfriend sema unatafuta mume.lakini kama una maanisha boyfriend Nipo hapa ila sina kazi upo mkoa gani nataka niwe nakupa raha duniani mpaka pale utapopata huyo mume asie mlevi pia mwenye kazi..
njoo pm tufanye yetu najua upo mpweke sana pole baby
 
Ondoa hako kakipengele ka tungi then you will be awarded a boyfriend you have been looking for, mana mim tungi comes first
 
Huyu Dada anaakili mbovu bado anawza bf wa kumgegeta huu ni uchngudoa ulio kubuhi badala ya kutafuta mtu wa kumuoa!
 
Njoo pm
 
Tafuta Man-friend. Kwa umri wako boyfriend hakufai, atakupwelepweta bure.
 
kama upo serious kweli utampata ila naomba mungu akuongoze kwenye kuchagua... umchague mtakayefanana kuelewana..!
 
~~>>>Miaka 31 bado unaweka vigezo... Kila mwaka linafunguliwa kontena Jipya la Warembo....


Punguza vigezo tuchangamke fursa
 
Wanaume =2.5B
Wanawake= 4.9B

Statistics shows that we are helping you don't put any more requirements next time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…