Natafuta Boyfriend

Dah! Tatizo dini imenikosesha mke
 
Makristo mtupishe tafadhali.
 
Equation x anapenda sana wanawake walojazia dada tafadhali akija PM kimbia anabalaa si la nchi hii.
mzabzab huyo mkimbie kabisa usijitese dada angu.
DeepPond huyu akija jua kabisa ameoa na atakufanya mchepuko wa kudumu Ila mchepuko mkuu akigundua(MamaJ) utapigwa juju.

Carrasco putin huyu yeye anataka wanawake wenye pesa tu.
National Anthem huyu achana nae tu maan mhhhhh.
Mshana Jr huyu asikudanganye ameoa na ana mchepuko hapa ndani.
 
Wafupi twende wapi?
Najua umeongopa tu kusema unatafuta mume,haya kila la heri
 
Naomba kujua size yako ya kiuno na size chini ya kiuno kuzunguka hips
 
Npo hapa
 
😅😅 nife na njaa mdogo wangu
 
Mungu akupatie hitaji la moyo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…