Natafuta Boyfriend

Sio kila unaemuona anatafuta mpenz mtandaoni basi anajiuza , usikariri maisha nakuukaza ubongo wako kuamini vitu vya kipuuz kila wakati.. hujui chochote kuhusu mimi So piga kimya

Mpenz unakuwa mkali jaman
 
Sio kila unaemuona anatafuta mpenz mtandaoni basi anajiuza , usikariri maisha nakuukaza ubongo wako kuamini vitu vya kipuuz kila wakati.. hujui chochote kuhusu mimi So piga kimya
Mchumba mzuri ni yule ambaye alikuwa rafiki mzuri.,unajua pengine labda unajibalaguza tu.
Wanaoomba kupata wachumba,ni wachache sana kupata mchumba na kuishi pamoja kwa sababu wanaume wengi tunapenda kuonja onja.
Lakini wanaotafuta marafiki ni rahisi kwao kuona nani anaweza kuwa mchumba na hata mume mwema.
Lakini kupitia majibu haya pia ni rahisi kujua wewe ulivyo pia
Wengine hawapendi kuja moja kwa moja wanazunguka
 
Nimepoteza sifa baada ya kuona umri wangu haujakizi vigezo
 
Niko hapa.
 
Teh teh 😂😂 kwani wafupi wamekatazwa kutuma maombi ?
......hakuna kitu wanachukia wanawake kama kudate wanaume wafupi, hapo haijalishi hata kama yeye mfupi kiasi gani atataka tu tall men with six pack.........
 
Tulio bakia tunaruhusiwa kuingia dm
 
Urefu tu umenikosesha mke, hauwezi ukatoa kigezo cha urefu
 
Nakuja pm mrembo tuyajenge
 
Nina mke
Watoto wamemaliza kusoma
Umri 50+
Ukikosa kabisa njoo inbox uwe nyumba ndogo.
 
Sifa ninazo njoo tuyajenge nipo. Tunduma
 
Sio kila unaemuona anatafuta mpenz mtandaoni basi anajiuza , usikariri maisha nakuukaza ubongo wako kuamini vitu vya kipuuz kila wakati.. hujui chochote kuhusu mimi So piga kimya
Unajitetea sana inaonekana ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…