Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa jinsia mi ni dada wa miaka 27 ,natafuta boyfriend. Atakaye nipenda kwa dhati hatimaye tuje kuwa mke na mume,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo,
Atakaye meet vigezo ani pm.asante.
,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo,
Atakaye meet vigezo ani pm.asante.
Mie nina vigezo vyote hapo ila pls weka na vya kwako maana mie napenda mdada natural asiyejichubua,tumbo flat,hips za kishkaji,ziwa saa sita,bamba taa kimtindo,kama unavyo hvyo vigezo ni-PM tule maisha!