Natafuta boyfriend

Natafuta boyfriend

hivi mnajua nn huwa kinatokea kwa m2 anaetafuta hapa bfriend? yani atakutana na huyu, anaona ngoja nimsubilie fulan labda atakuwa mzuri zaidi ya huyu, mchezo ndo huo, wale wajanja humenya kabsa...hvyo enyi boyz mtakapokutana usikute ww ni wa 100
 
Awe ameajiriwa maana yake nini? kama ameajiajiri hutaki?
 
Kwa jinsia mi ni dada wa miaka 27 ,natafuta boyfriend. Atakaye nipenda kwa dhati hatimaye tuje kuwa mke na mume,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo,
Atakaye meet vigezo ani pm.asante.
sasa jaman mimi ndo bas tena!! yan nnavigezo vyote isipokuwa hapo kwenye red tu ndo pameharib!!! rekebisha masharti afu tuendelee...
 
Sifa tajwa ninazo, ila mashine haifanyikazi unasemaje??
ila mtaalam wa kupiga touch na kuchomea vidole!
 
Kwa jinsia mi ni dada wa miaka 27 ,natafuta boyfriend. Atakaye nipenda kwa dhati hatimaye tuje kuwa mke na mume,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo,
Atakaye meet vigezo ani pm.asante.

Hapo katika dini!! Kila la kheri

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom