sasa jaman mimi ndo bas tena!! yan nnavigezo vyote isipokuwa hapo kwenye red tu ndo pameharib!!! rekebisha masharti afu tuendelee...Kwa jinsia mi ni dada wa miaka 27 ,natafuta boyfriend. Atakaye nipenda kwa dhati hatimaye tuje kuwa mke na mume,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo,
Atakaye meet vigezo ani pm.asante.
Kwa jinsia mi ni dada wa miaka 27 ,natafuta boyfriend. Atakaye nipenda kwa dhati hatimaye tuje kuwa mke na mume,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo,
Atakaye meet vigezo ani pm.asante.