Natafuta Business Partener

Natafuta Business Partener

Mech

Senior Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
131
Reaction score
321
Habari wakuu.

ELIMU:
Bachelor of science in Mechanical Engineering from University of Dar es Salaam.

UZOEFU
Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye masuala ya Machine design, Metal fabrication, Machine operation, Cost estimation, Project management, Leadership na mambo ya Management.

KAMPUNI
Nimesajili kampuni (Brela) itakayokuwa inajihusisha na Engineering services. Lakini kwa sasa sina uwezo wa kifedha kuweza kupata machine zifuatavyo:

1. Lathe machine

2. Milling machine

3. Shaper machine

Hivyo natafuta Investor au business partner ambaye tutashirikiana pamoja.

Kwa mtu ambaye yuko serious anaweza kunitumia ujumbe inbox.
 
One of best mind i have come across..Ni bora wewe kuliko mtu anakuja humu kuomba kazi tu.Hakika ntakufata inbox
 
ukirahisisha kwa kubainisha bajeti zake itakuwa rahisi kidogo mfano bei za

1. Lathe machine

2. Milling machine

3. Shaper machine
Lathe machine - Around 17M

Milling machine- Around 50M

Shaper machine / Sloting machine - Around 40M
 
Habari wanandugu,

Miezi kadhaa iliyopita niliweka uzi hapa uliosomeka "NATAFUTA BUSINESS PARTNER". Biashara hii inadeal na Engineering Works. Katika uzi huu nilianisha juu ya changamoto kubwa niliyonayo ambayo ni uhitaji wa machine za kufanyia kazi ambazo ni LATHE MACHINE, MILLING MACHINE, SLOTING MACHINE na POWER SAW MACHINE.

Baada ya kufanyia kazi ushauri niliopewa na wadau kwenye uzi wangu wa kwanza. Baadae niliweka uzi mwingine unaosomeka "LATHE MACHINE". Hapa niliandika natafuta mtu au kampuni inayoweza kunikodishia LATHE MACHINE kwa gharama ndogo, au kuniuzia hiyo LATHE MACHINE kwa malipo ya Installment ( Niwe nalipa kidogo kidogo hadi pale nitakapo maliza kulipa deni).

Katika kupambana na hili, nimepata mdau anaeuza LATHE MACHINE yake kwa gharama ya shilingi Milioni nane (Tsh. 8M) na fedha hiyo anaitaka yote kwa pamoja. Kwa hali yangu ya sasa sina uwezo huo wa shilingi Milioni 8 (Japokuwa mimi ni Engineer, mwenye experience ya zaidi ya miaka 4 toka nitoke chuo).

Wakuu, mimi kijana ninakuja kwenu kuomba msaada niweze kupata LATHE MACHINE tu, hizo machine nyingine nina amini 101% zitanunuliwa na hiyo LATHE MACHINE pindi biashara ikitengamaa. Wewe kama kijana mwenzangu (mzazi wangu) nina omba unishike mkono kwenye hili, unaweza kunisaidia kwa njia zifuatazo:

1. Kuninunulia hiyo LATHE MACHINE, mimi nikawa nazirudisha hizo hela zako pole pole pamoja na riba.

2. Ukaniunganisha na mtu au kampuni ambayo inaweza kunikopesha LATHE MACHINE na nikawa narejesha mkopo kwa gharama nafuu.

N.B
Mimi ninachohitaji ni Machine na sio hela.

Picha ya LATHE MACHINE (6ft) ambayo inauzwa 8M.
IMG-20210513-WA0005.jpg

Naomba nitangulize shukrani. Na Mungu aendelee kuwabariki.
 
Mkuu unataka kufungua work shop ya kutengeneza bidhaa/vipuri gani?

Good luck in advance.
 
Lathe Machine inafanya kazi zipi?

Na mtu akiingia partnership pesa ya hiyo mashine inarudije? Yani unapataje hela kupitia hiyo mashine?
 
Lathe Machine inafanya kazi zipi?

Na mtu akiingia partnership pesa ya hiyo mashine inarudije? Yani unapataje hela kupitia hiyo mashine?
Lathe machine: Hii ni machine ya kuchonga vyuma ili kutengeneza vipuri(machine parts) mbalimbali.

Unapata pesa kupitia hii machine kwa kufanya kazi za kutengeneza vipuri(machine parts) za machine za viwanda au mitambo mbalimbali.
 
Sawa mkuu, mimi mgeni kabisa upande huo.
 
Back
Top Bottom