The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Naona kukuuliza kama nataka kusoma course yaku operate hiyo machine naisonea wapi au chuo gani kinafundisha
Asante
Asante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi umeisomea BossMkuu naomba Mungu akusaidie ufanikishe, sina uwezo wa kifedha ila nataman sana ningekua business partner/assistant wako kwan na mimi nimesomea fani hio ingawa sina uzoefu sana
Mpaka leoSikufanikiwa mkuu
Vp umeshafanikiwa au bado? ... Wazo lako ni zuri sana naomba no Yako tuweze kuwasiliana zaidiSikufanikiwa mkuu
Business Proposal unayo?Habari wakuu.
ELIMU:
Bachelor of science in Mechanical Engineering from University of Dar es Salaam.
UZOEFU
Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye masuala ya Machine design, Metal fabrication, Machine operation, Cost estimation, Project management, Leadership na mambo ya Management.
KAMPUNI
Nimesajili kampuni (Brela) itakayokuwa inajihusisha na Engineering services. Lakini kwa sasa sina uwezo wa kifedha kuweza kupata machine zifuatavyo:
1. Lathe machine
2. Milling machine
3. Shaper machine
Hivyo natafuta Investor au business partner ambaye tutashirikiana pamoja.
Kwa mtu ambaye yuko serious anaweza kunitumia ujumbe inbox.
Nimekutumia PMVp umeshafanikiwa au bado? ... Wazo lako ni zuri sana naomba no Yako tuweze kuwasiliana zaidi