Natafuta Business Partener

Natafuta Business Partener

Naona kukuuliza kama nataka kusoma course yaku operate hiyo machine naisonea wapi au chuo gani kinafundisha

Asante
 
Habari wakuu.

ELIMU:
Bachelor of science in Mechanical Engineering from University of Dar es Salaam.

UZOEFU
Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye masuala ya Machine design, Metal fabrication, Machine operation, Cost estimation, Project management, Leadership na mambo ya Management.

KAMPUNI
Nimesajili kampuni (Brela) itakayokuwa inajihusisha na Engineering services. Lakini kwa sasa sina uwezo wa kifedha kuweza kupata machine zifuatavyo:

1. Lathe machine

2. Milling machine

3. Shaper machine

Hivyo natafuta Investor au business partner ambaye tutashirikiana pamoja.

Kwa mtu ambaye yuko serious anaweza kunitumia ujumbe inbox.
Business Proposal unayo?
 
Ulifanikiwa??mimi nina dhamana(Nyumba yenye Hati),kama una biashara inayozunguka vizuri njoo tuyajenge,nikupe Hati ukakopee,uaminifu ni kipaumbele namba moja,Nyumba ipo Dodoma
 
Back
Top Bottom