Troubleshooter
Senior Member
- Mar 30, 2016
- 120
- 136
Habari, mimi nimeanzisha kampuni ya kutoa huduma za ki ICT. Ofisi ya kampuni ipo Dar es Salaam, kuna vifaa vya kazi kama Computer 5, printer 2, ofisi kubwa yenye AC, mashine nyingine kama mashine za Stationery servies pia zipo kama, lamination machine, binder, paper cutter nk. ipo miradi kadhaa tunayoifanya, changamoto ukosefu wa masoko ya uhakika na ufinyu wa mtaji.
Nahitaji kupata business partner aliye serious na mwenye ndoto za kufanikiwa katika biashara. Lazima awe ni mwana taaluma ya ICT na awe na malengo ya kuanzisha kampuni kwa pamoja. Partner atasema kwamba anaweza kuchangia kwenye upande gani ili kuwezesha kampuni kusonga mbele mfano mawazo ya miradi mipya na namna ya kukuza masoko na kujitangaza zaidi.
Kwa mtu aliye serious anicheki DM kwa mazungumzo zaidi.