nimesema campany,kama tukifikia huko nadhani kuna kingamme wako hajatulia..........akiyazoa huko na wewe umpasishie huyo kampani wako!!!
Kubadilishana mawazo tu, hadi awe hajaoa??
Walioowa hawana mawazo??
Teh teh teh, watu mnajua jinsi ya kuwamwagia mtama majogoo, ngoja nione jogoo lipi litalalia kisu
Anza kujiandaa, mchinjaji atatoka upande upi??
nimesema campany,kama tukifikia huko nadhani kuna kinga
Sio vizuri kuhang out na mme wa mtuKubadilishana mawazo tu, hadi awe hajaoa??
Walioowa hawana mawazo??
Teh teh teh, watu mnajua jinsi ya kuwamwagia mtama majogoo, ngoja nione jogoo lipi litalalia kisu
Anza kujiandaa, mchinjaji atatoka upande upi??
wewe mzito kuelewaaa!
Kubadilishana mawazo, maana yake ni yale 'mawazo unayokuwa nayo ukiukwaa'; sasa mtabadilishana vipi mawazo bila kuambukizana kwanza; au hujui na njia za kuambukizana ni-spell them for you?
wewe mzito kuelewaaa!
Kubadilishana mawazo, maana yake ni yale 'mawazo unayokuwa nayo ukiukwaa'; sasa mtabadilishana vipi mawazo bila kuambukizana kwanza; au hujui na njia za kuambukizana ni-spell them for you?
nimesema campany,kama tukifikia huko nadhani kuna kinga
my dear enough is enough i need some one to pass some og my free time withAma kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni......Amelie yamekukuta yepi my sist....Nashauri uachane na huu mpango kwani kama unatafuta amani utapoteza hata kidogo uliyobakiza.
Sio vizuri kuhang out na mme wa mtu
my dear enough is enough i need some one to pass some og my free time with
nimesema campany,kama tukifikia huko nadhani kuna kinga
Unajua ukitafuta ambaye hana mtu haitapendeza cha msingi inafaa ubadili uamuzi toka kwa ambaye hajaoa na upate aliyeoa ili muende sawa na hata ikitokea mkachakachua basi kila mtu ajue kuwajibika,unaowaona wengi ambao hawana wenza ni watu hatari zaidi kuliko wenye wenza.Wapendwa natafuta mtu wa kubadilishana nae ideas,awe wa jinsia ya kiume miaka 33 na kuendelea,awe hajaoa,mjane,i mean hana mke,pia asiwe na tabia za kima laya ma laya
Mimi ni nimeolewa nina watoto watatu,mme wangu hajatulia kabisa,hivyo nahitaji mtu wa kupass nae time,
ambae yuko serious please ani PM
Sio vizuri kuhang out na mme wa mtu