Natafuta campany

Natafuta campany

Status
Not open for further replies.
Kubadilishana mawazo tu, hadi awe hajaoa??
Walioowa hawana mawazo??

Teh teh teh, watu mnajua jinsi ya kuwamwagia mtama majogoo, ngoja nione jogoo lipi litalalia kisu

Anza kujiandaa, mchinjaji atatoka upande upi??

Kongosho wacha mie nkachinjwe kwenye mawazo .....................!:rockon:
 
Halafu kesho ndo ijumaa tutabadilishana mawazo kweli kweli dah .....................!
 
Kubadilishana mawazo tu, hadi awe hajaoa??
Walioowa hawana mawazo??

Teh teh teh, watu mnajua jinsi ya kuwamwagia mtama majogoo, ngoja nione jogoo lipi litalalia kisu

Anza kujiandaa, mchinjaji atatoka upande upi??

hapa umenichezea vema kwa fasihi, nashukuru sana
 
Mi niko radhi, je utanilipa sh ngapi ili nikupetipeti? you will pay for my time, sex is free :whoo:
 
my dear enough is enough i need some one to pass some og my free time with

Ila bado haijustfy wewe kufanya mambo hayo....Nakushauri umlilie mungu wako atakupa majibu sahii ya ndoa yako, wanao wanakutegemea wewe kupata malezi bora. Nijuavo mimi malezi bora yatoka kwa mama hata mimi najivunia malezi ya mama yangu, sasa unataka wanao wakuite mama wa namna gani? My sist huko nje unakoenda hautapata furaha unayoitamani ila utaambua karaha mara mia. Usifikiri mumeo anafaidi la hasha ana mateso makubwa ya nafsi kuliko wewe....Tulizana baby achana na huu mpango utakuharibia maisha yako ya hapa duniani na mbinguni pia.
 
Wapendwa natafuta mtu wa kubadilishana nae ideas,awe wa jinsia ya kiume miaka 33 na kuendelea,awe hajaoa,mjane,i mean hana mke,pia asiwe na tabia za kima laya ma laya
Mimi ni nimeolewa nina watoto watatu,mme wangu hajatulia kabisa,hivyo nahitaji mtu wa kupass nae time,
ambae yuko serious please ani PM

Duh!..hii sekta ya waliooana inahitaji maombi mazito....
 
Ila bado haijustfy wewe kufanya mambo hayo....Nakushauri umlilie mungu wako atakupa majibu sahii ya ndoa yako, wanao wanakutegemea wewe kupata malezi bora. Nijuavo mimi malezi bora yatoka kwa mama hata mimi najivunia malezi ya mama yangu, sasa unataka wanao wakuite mama wa namna gani? My sist huko nje unakoenda hautapata furaha unayoitamani ila utaambua karaha mara mia. Usifikiri mumeo anafaidi la hasha ana mateso makubwa ya nafsi kuliko wewe....Tulizana baby achana na huu mpango utakuharibia maisha yako ya hapa duniani na mbinguni pia.

Nimechoka,nikianza kusimulia hapa nitajaza page na page,mimi natafuta tu kampany,atlest i can innovate my mind,sio kila saa unadanganywa nipo Mtwara kikazi kumbe yupo sinza gest kalala na kimwana.
 
Kwa hiyo unataka kulipiza kisasi?Kila la kheri na huyo mtakaesukumiana moto
 
Nimechoka,nikianza kusimulia hapa nitajaza page na page,mimi natafuta tu kampany,atlest i can innovate my mind,sio kila saa unadanganywa nipo Mtwara kikazi kumbe yupo sinza gest kalala na kimwana.

Pole sana mama!
 
pole sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom