Kubadilishana mawazo tu, hadi awe hajaoa??
Walioowa hawana mawazo??
Teh teh teh, watu mnajua jinsi ya kuwamwagia mtama majogoo, ngoja nione jogoo lipi litalalia kisu
Anza kujiandaa, mchinjaji atatoka upande upi??
Kongosho wacha mie nkachinjwe kwenye mawazo .....................!:rockon:
Mnataka kufungua kampuni ya kuzalisha nini? Au watoto??
Kongosho wacha mie nkachinjwe kwenye mawazo .....................!:rockon:
Kubadilishana mawazo tu, hadi awe hajaoa??
Walioowa hawana mawazo??
Teh teh teh, watu mnajua jinsi ya kuwamwagia mtama majogoo, ngoja nione jogoo lipi litalalia kisu
Anza kujiandaa, mchinjaji atatoka upande upi??
Huna watoto? Kama ishu ni ku-pass free time?
matatizo gani?Wewe Siyo mke wa mtu? Naisi una matatizo
Bado sijaoa ni mbichi kabisa bibie .................!kama umeoa,bora usije kabisa
my dear enough is enough i need some one to pass some og my free time with
Wapendwa natafuta mtu wa kubadilishana nae ideas,awe wa jinsia ya kiume miaka 33 na kuendelea,awe hajaoa,mjane,i mean hana mke,pia asiwe na tabia za kima laya ma laya
Mimi ni nimeolewa nina watoto watatu,mme wangu hajatulia kabisa,hivyo nahitaji mtu wa kupass nae time,
ambae yuko serious please ani PM
Ila bado haijustfy wewe kufanya mambo hayo....Nakushauri umlilie mungu wako atakupa majibu sahii ya ndoa yako, wanao wanakutegemea wewe kupata malezi bora. Nijuavo mimi malezi bora yatoka kwa mama hata mimi najivunia malezi ya mama yangu, sasa unataka wanao wakuite mama wa namna gani? My sist huko nje unakoenda hautapata furaha unayoitamani ila utaambua karaha mara mia. Usifikiri mumeo anafaidi la hasha ana mateso makubwa ya nafsi kuliko wewe....Tulizana baby achana na huu mpango utakuharibia maisha yako ya hapa duniani na mbinguni pia.
Nimechoka,nikianza kusimulia hapa nitajaza page na page,mimi natafuta tu kampany,atlest i can innovate my mind,sio kila saa unadanganywa nipo Mtwara kikazi kumbe yupo sinza gest kalala na kimwana.
Nimechoka,nikianza kusimulia hapa nitajaza page na page,mimi natafuta tu kampany,atlest i can innovate my mind,sio kila saa unadanganywa nipo Mtwara kikazi kumbe yupo sinza gest kalala na kimwana.
Kwa hiyo unataka kulipiza kisasi?Kila la kheri na huyo mtakaesukumiana moto
Nimechoka,nikianza kusimulia hapa nitajaza page na page,mimi natafuta tu kampany,atlest i can innovate my mind,sio kila saa unadanganywa nipo Mtwara kikazi kumbe yupo sinza gest kalala na kimwana.