Natafuta campany

Natafuta campany

Status
Not open for further replies.
Wapendwa natafuta mtu wa kubadilishana nae ideas,awe wa jinsia ya kiume miaka 33 na kuendelea,awe hajaoa,mjane,i mean hana mke,pia asiwe na tabia za kima laya ma laya
Mimi ni nimeolewa nina watoto watatu,mme wangu hajatulia kabisa,hivyo nahitaji mtu wa kupass nae time,
ambae yuko serious please ani PM

Mmmh... Dunia ina mambo kwa kweli..!
 
Wapendwa natafuta mtu wa kubadilishana nae ideas,awe wa jinsia ya kiume miaka 33 na kuendelea,awe hajaoa,mjane,i mean hana mke,pia asiwe na tabia za kima laya ma laya
Mimi ni nimeolewa nina watoto watatu,mme wangu hajatulia kabisa,hivyo nahitaji mtu wa kupass nae time,
ambae yuko serious please ani PM
Me nakushauri utafute company ya mwanamke mwenzio mwenye status kama yako muwe mnafarijiana hata kwa kusali pia kuongea na kwenda sehemu mbali mbali ila co mwanaume pls my dia
 
Nimechoka,nikianza kusimulia hapa nitajaza page na page,mimi natafuta tu kampany,atlest i can innovate my mind,sio kila saa unadanganywa nipo Mtwara kikazi kumbe yupo sinza gest kalala na kimwana.

Kama unaona ndoa imeshakataa kabisa moyoni mwako, kabla hujaanza kutafuta hii faraja anza na swala la kuomba talaka ukitumia hivi vigezo japo nahofia utasumbuliwa kwenye ushahidi wa kimahakama then ukishapata tafuta maisha mengine na naamini utapata wa kudumu ili uwe na faraja yako ndani siyo hizi za vijana zitakuumiza roho na mwisho uambulie maumivu zaidi. Ila usimwige tembo kunya pia kwani utapasuka................Pole sana ila naona nafasi ya mungu kwako umeshakosa imani nayo.
 
Kama wewe ni Mke wa Mtu, kwanini hutaki Mme wa mtu ili iwe ngoma draw
mimi naumia sana mme wangu kutoka nje,hivyo basi sitaki mme wa mtu maana mke wake atawaza vinginevyo.na ataumia bure
 
mimi naumia sana mme wangu kutoka nje,hivyo basi sitaki mme wa mtu maana mke wake atawaza vinginevyo.na ataumia bure
"Two wrongs don't make it right"

Kubadilishana mawazo will end up doing what only your husband is allowed to do to you. And that wont differ you from your cheating husband. Unajua kingine kibaya zaidi? Mwanaume haitwi MALAYA, wewe utaitwa MALAYA hata kama utakuwa umetoka only once.

Tatua tatizo la ndoa yako na sio kuongeza idadi ya matatizo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom