Natafuta Canter ya kubebea mizigo yangu kwa wiki Tsh. 200,000 Arusha

Natafuta Canter ya kubebea mizigo yangu kwa wiki Tsh. 200,000 Arusha

Ungesema ni mizigo ya aina gani isikute ni magunia ya bhange boss
 
Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu.

Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
Ukimpata niambie na mimi nikodi kwa bei hiyo
 
Back
Top Bottom