S specter Member Joined Dec 5, 2013 Posts 31 Reaction score 6 Jun 19, 2021 #1 Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu. Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu. Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jun 19, 2021 #2 Mizigo gani?
S specter Member Joined Dec 5, 2013 Posts 31 Reaction score 6 Jun 19, 2021 Thread starter #3 mIZI Mtoto halali na hela said: Mizigo gani? Click to expand... Maboksi ya bidhaa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 19, 2021 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 20,834 Reaction score 26,217 Jun 19, 2021 #5 Ungesema ni mizigo ya aina gani isikute ni magunia ya bhange boss
Kurunzi JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 9,753 Reaction score 10,747 Jun 19, 2021 #6 specter said: Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu. Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546 Click to expand... Ukimpata niambie na mimi nikodi kwa bei hiyo
specter said: Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu. Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546 Click to expand... Ukimpata niambie na mimi nikodi kwa bei hiyo
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,015 Jun 19, 2021 #7 Bei ndogo boss kuna service ya gari ujue