Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo mkwala mzito sana, watu wataogopa kukupa contact za watu....Wapendwa natafuta mpishi Nina ubatizo next wkend nataka anaejua kupika ATI yaani ukila chakula chake lazima next time umtafte tena,plz nasisitiza anae jua kupika haswa sio kitoto,coz chakula kikiwa kibaya hatutaelewana,asanteni
asante lakini nataka mwenye vyombo kabisaapiga 0716 317715 huyu atakupikia hi home home next time utamtafuta tu aisee, ila inabidi utafute mavyombo ya kupakulia maana yeye ni mpishi tu uwe na mavyombo yako ya kupikia kama vile sufuria n.k ila utamtafuta tena narudia kwa msisitizo hutajuta.........
yaah naelewa siku zinatofautiana ILA kuna wengine hawako serious kabsa labda wana order nyingi ndo zawachanganya kama last yr nlikuwa na graduation yaan huyo mpishi alitupikia vitu vya ajabu had nlitaman nisile kile chakula,kwahyo this tym ctak mambo yajirudie kwakwel,huo mkwala mzito sana, watu wataogopa kukupa contact za watu....kupika ni art..... siyo kila siku unaweza kupika chakula kitamu sana.Mimi ni mpishi mzuri sana nyumbani kwangu, lakini kuna siku naweza nikatoa msosi nikashangaa kama kweli mimi ndo nilikuwa mpishi au la.
Wapendwa natafuta mpishi Nina ubatizo next wkend nataka anaejua kupika ATI yaani ukila chakula chake lazima next time umtafte tena,plz nasisitiza anae jua kupika haswa sio kitoto,coz chakula kikiwa kibaya hatutaelewana,asanteni
Tuwasiliane kupitia 0712 419 419 utafurahi ww na vyombo ninavyo