Natafuta caterer

Natafuta caterer

raky

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
206
Reaction score
33
Wapendwa natafuta mpishi Nina ubatizo next wkend nataka anaejua kupika ATI yaani ukila chakula chake lazima next time umtafte tena,plz nasisitiza anae jua kupika haswa sio kitoto,coz chakula kikiwa kibaya hatutaelewana,asanteni
 
piga 0716 317715 huyu atakupikia hi home home next time utamtafuta tu aisee, ila inabidi utafute mavyombo ya kupakulia maana yeye ni mpishi tu uwe na mavyombo yako ya kupikia kama vile sufuria n.k ila utamtafuta tena narudia kwa msisitizo hutajuta.........
 
huo mkwala mzito sana, watu wataogopa kukupa contact za watu....
kupika ni art..... siyo kila siku unaweza kupika chakula kitamu sana.
Mimi ni mpishi mzuri sana nyumbani kwangu, lakini kuna siku naweza nikatoa msosi nikashangaa kama kweli mimi ndo nilikuwa mpishi au la.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
piga 0716 317715 huyu atakupikia hi home home next time utamtafuta tu aisee, ila inabidi utafute mavyombo ya kupakulia maana yeye ni mpishi tu uwe na mavyombo yako ya kupikia kama vile sufuria n.k ila utamtafuta tena narudia kwa msisitizo hutajuta.........
asante lakini nataka mwenye vyombo kabisaa
 
huo mkwala mzito sana, watu wataogopa kukupa contact za watu....kupika ni art..... siyo kila siku unaweza kupika chakula kitamu sana.Mimi ni mpishi mzuri sana nyumbani kwangu, lakini kuna siku naweza nikatoa msosi nikashangaa kama kweli mimi ndo nilikuwa mpishi au la.
yaah naelewa siku zinatofautiana ILA kuna wengine hawako serious kabsa labda wana order nyingi ndo zawachanganya kama last yr nlikuwa na graduation yaan huyo mpishi alitupikia vitu vya ajabu had nlitaman nisile kile chakula,kwahyo this tym ctak mambo yajirudie kwakwel,
 
oo lala!
nimeikosa kazi!
next time nitafute!
 
Je ulishampata au bado bestito
Wapendwa natafuta mpishi Nina ubatizo next wkend nataka anaejua kupika ATI yaani ukila chakula chake lazima next time umtafte tena,plz nasisitiza anae jua kupika haswa sio kitoto,coz chakula kikiwa kibaya hatutaelewana,asanteni
 
Nashukuru ndechi niliona lkn shuguli haziishi anaweza kuhitaj kwa cku zijazo hata kama c yy hata ww.
 
Natafuta tenda ya jiko kwenye bar au grocery, mkataba ni maelewano, jamani kwa mwenye jiko na anatafuta mtu ani PM.
 
Wapi hapo dsm,uganda ,igunga ,au simiyu tujulishe ulipo mkuu tukupe contact zetu,hatubahatishi kupika.
 
Back
Top Bottom