Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Jomba hizo ni heavy machine, consumption ya mafuta ni hubwa sana ukizingatia zina horse power kubwaNipo Manyoni Singida, Mimi pia Nimenunua heka 50 shamba pori lakn gharama za kusafisha kwa greda ni kubwa mara 4 zaid ya kununua eneo.
Wahusika wa greda waliniambia
Mafuta Lita 24 kwa saa na linafanya Kaz masaa 8, opereta nimlipe Mimi 80000tsh kwa siku, gharama ya usafiri kwenda na kurud ni 1000000tsh na malipo kwa mmiliki wa chombo/greda ni 1000000tsh kwa siku