Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Jomba hizo ni heavy machine, consumption ya mafuta ni hubwa sana ukizingatia zina horse power kubwaNipo Manyoni Singida, Mimi pia Nimenunua heka 50 shamba pori lakn gharama za kusafisha kwa greda ni kubwa mara 4 zaid ya kununua eneo.
Wahusika wa greda waliniambia
Mafuta Lita 24 kwa saa na linafanya Kaz masaa 8, opereta nimlipe Mimi 80000tsh kwa siku, gharama ya usafiri kwenda na kurud ni 1000000tsh na malipo kwa mmiliki wa chombo/greda ni 1000000tsh kwa siku
Serious?Nakushauri tafuta excavator, hata hivyo gharama za hizo machine zipo juu sana kwakuwa ulaji wa mafuta ni mkubwa kuyokana na horse power kuwa kubwa, maintenance ya mitambo hiyo pia ni gharama sana
0659756647Wakuu natumai mu-wazima wa afya,
Natafuta Caterpillar la kuvunja shamba. Shamba lipo mkoa Pwani (km 160 kutoka Dar).
Ningependa kujua gharama ya kukodisha, kusafirisha na kama Kuna gharama zingine
Kwani tractor inasafisha pori?Kuna caterpillar na tractor za kulimia, kwani wewe unataka caterpillar wataka kutengeneza barabara ndani ya shamba???
Yeah wanakuja kumpa mwongozo
Kuna caterpillar na tractor za kulimia, kwani wewe unataka caterpillar wataka kutengeneza barabara ndani ya shamba?