Natafuta Chaja, Pin Kubwa

Natafuta Chaja, Pin Kubwa

Hiyo sio smartphone tena! Ishakuwa laptop,labda uagize kutoka congo...
 
Hiyo simu haina tundu mbili,?
upload_2017-2-1_11-46-21.jpeg
 
Jamani nilikuwa na simu yangu smartphone, ni nzuri ila haikai na chai, dakika chache tu iko hoi

Hadi ilifikia wakati ambapo nahitaji kujipumzisha na simu yangu lakini haina chaji hata ya dakika 5

Nataka ninunue zile za zamani ngangari zinazokaa na chaji hadi siku 7!!!

Pliz yeyote mwenye chaja ya PIN KUBWA anitafute, mi nakosa raha huku kwa sababu ya chaji.

Pliz help me, Am dying with a thirsty of RELIABLE service!

Pin ndogo haitoshi kwenye lile tundu la pin kubwa

Na madukani nimepita hawana.

najua mtaani zitakuwepo hata zile ZILIZOHARIBIKA kidogo.

mi nazitaka hivyohivyo, HATA KAMA ya kuazima

PLIZzz

Ukuje pande hii nikuazime ya kwangu..
 
Chaja pini kubwa mimi ninayo tena ni kubwa hata uingiaje wake tunduni huwa ni wa rabsha kidogo. Kuna jirani yangu hapa shangazi yake monalisa huwa anaitumia mara kwa mara na huwa anaomba nisiiazimishe kwa mtu....

Sasa nahisi wewe ni mstaarabu nitakuazimisha ila sitaki uing'ang'anie chaja yangu maana kila anayeiazima huwa anataka nimuachi kabisa eti awe anaitumia peke yake.
njoo uichukie ujichomekee mwenyew kweny hilo tundubla simu, kama utataka pini izame yote au izame nusu ni maamuz yako
Dah watu wanajua asee. Nimeipenda hio
 
Jamani nilikuwa na simu yangu smartphone, ni nzuri ila haikai na chai, dakika chache tu iko hoi

Hadi ilifikia wakati ambapo nahitaji kujipumzisha na simu yangu lakini haina chaji hata ya dakika 5

Nataka ninunue zile za zamani ngangari zinazokaa na chaji hadi siku 7!!!

Pliz yeyote mwenye chaja ya PIN KUBWA anitafute, mi nakosa raha huku kwa sababu ya chaji.

Pliz help me, Am dying with a thirsty of RELIABLE service!

Pin ndogo haitoshi kwenye lile tundu la pin kubwa

Na madukani nimepita hawana.

najua mtaani zitakuwepo hata zile ZILIZOHARIBIKA kidogo.

mi nazitaka hivyohivyo, HATA KAMA ya kuazima

PLIZzz
Vijana wengi wanapenda sana post kama hizi. Very soon utapata charger kubwa.

Lakini wewe ni hatari sana, umejiunga January 3, 2017 lakini unakwenda kasi sana, wewe ni kama mabasi ya mwendo kasi. Vipi yule mdau wako wa "sekunde tano" hana charger kubwa?

Ikimbie zinaa "FakeGirlNaomi".
 
mkuu ushaambiwa Asprin ana chaja ya pin kubwa mpaka power bank japokua sjui aliesema hayo aliona wap so bibi alijiongeza tu hapa itakula kwake
Mtafiti hebu naomba samare kidogo, nini kinajiri mahali hapa???
 
Asprin ndo kila kitu ana pin kubwa, ana chaja ya kobe na.power bank
Mwalimu wangu na msiri wangu.... huyu ndiye yule uliyenipa au ni toleo jipya??

Hebu mwangalie vizuri simu anayotumia, nahofia chaja yangu isije ikalipua simu ya watu.

Na simu ikilipuka, chaja yangu haitakuwa salama. Waliozoea kutumia chaja yangu watanilaumu sana, nami sipendi lawama kuliko fedheha.
 
mkuu ushaambiwa Asprin ana chaja ya pin kubwa mpaka power bank japokua sjui aliesema hayo aliona wap so bibi alijiongeza tu hapa itakula kwake
Anaitaka chaja yangu kuchajia kwa kuiazima au anataka kuinunua kabisa?? Kama kuinunua mwambie amepotea njia, kuna simu kibao zinaitegemea chaja yangu. Sipendi wenye simu zao watoke hewani sababu ya ubinafsi wa mtu mmoja.

Nimemaliza
 
mi nazitaka hivyohivyo, HATA KAMA ya kuazima

Anaitaka chaja yangu kuchajia kwa kuiazima au anataka kuinunua kabisa?? Kama kuinunua mwambie amepotea njia, kuna simu kibao zinaitegemea chaja yangu. Sipendi wenye simu zao watoke hewani sababu ya ubinafsi wa mtu mmoja.

Nimemaliza
Amesema hata kuazima sawa tu
 
Huyu mdau alikuja na thread jana ya kukutana na mwanaume wa JF, na wakati wa kufanya mambo yetu ilichukua dakika 1 na sekunde 27 jamaa kushusha wazungu.

Kwa hiyo huyu mdau akawa analalamika ni kwa nini iwe hivyo? So naona kaja na uzi wa kutafuta chaja itakayokaa muda mrefu.

Nakumbuka Evelyn Salt alimlengesha Asprin kukagua huyu mdada, tena Bonny akaitwa kwenye ushahidi.
Aliingia mitini huyu mwathirika wa chaji...

Si kila chaji ni ya kujaribia simu yake... nadhani aliogopa italipuka.
 
Back
Top Bottom