Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kwa ajili ya mambo ya dharura, sikuwa na namna. Nikajichukulia power bank tayari kwa vita wakati wowote.mzee watu wamekuaje una mpaka power bank?
Tanesco hawatabiriki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ajili ya mambo ya dharura, sikuwa na namna. Nikajichukulia power bank tayari kwa vita wakati wowote.mzee watu wamekuaje una mpaka power bank?
Mwambie niko PM nasubirioa order yake.Amesema hata kuazima sawa tu
kuna mrembo charger aliokuwa anatumia haifany kaz vzur so ikaonekana charger yako mzee mwenzangu itasaidia kurudsha mawasiliano hewan...Mtafiti hebu naomba samare kidogo, nini kinajiri mahali hapa???
@FakeGirl Naomi embu wasiliana na mzee hapa ni jibu la tatzo lakoMwambie niko PM nasubirioa order yake.
Kumbe ni yuleyule... mwambie akae kando, charger iko bize na wenye shida za ukweli.kuna mrembo charger aliokuwa anatumia haifany kaz vzur so ikaonekana charger yako mzee mwenzangu itasaidia kurudsha mawasiliano hewan...
shida muomba charger alikimbia hyo siku ulioenda na stop watch Raimundo njoo utoe maelezo hapa
Kumbe ni yuleyule... mwambie akae kando, charger iko bize na wenye shida za ukweli.
@FakeGirl Naomi embu wasiliana na mzee hapa ni jibu la tatzo lako
Anawapotezea muda... wengine tuko bize kuchaji simu zenye mahitaji ya chaji...Kwa maelezo haya huyu FakeGirl ni Hewa, haihitaji hata kuhakiki.
Kwa AvaJamani nilikuwa na simu yangu smartphone, ni nzuri ila haikai na chai, dakika chache tu iko hoi
Hadi ilifikia wakati ambapo nahitaji kujipumzisha na simu yangu lakini haina chaji hata ya dakika 5
Nataka ninunue zile za zamani ngangari zinazokaa na chaji hadi siku 7!!!
Pliz yeyote mwenye chaja ya PIN KUBWA anitafute, mi nakosa raha huku kwa sababu ya chaji.
Pliz help me, Am dying with a thirsty of RELIABLE service!
Pin ndogo haitoshi kwenye lile tundu la pin kubwa
Na madukani nimepita hawana.
najua mtaani zitakuwepo hata zile ZILIZOHARIBIKA kidogo.
mi nazitaka hivyohivyo, HATA KAMA ya kuazima
PLIZzz
Kwa Avatar hyo kweli pini ndogo haitoshi kwenye tundu kubwa,mtaani zipo ila kuzipata kazi na unaweza kupata ikawa haina nguvu za kutosha!Tafuta kiu ya reliable service itaisha mkuu!Jamani nilikuwa na simu yangu smartphone, ni nzuri ila haikai na chai, dakika chache tu iko hoi
Hadi ilifikia wakati ambapo nahitaji kujipumzisha na simu yangu lakini haina chaji hata ya dakika 5
Nataka ninunue zile za zamani ngangari zinazokaa na chaji hadi siku 7!!!
Pliz yeyote mwenye chaja ya PIN KUBWA anitafute, mi nakosa raha huku kwa sababu ya chaji.
Pliz help me, Am dying with a thirsty of RELIABLE service!
Pin ndogo haitoshi kwenye lile tundu la pin kubwa
Na madukani nimepita hawana.
najua mtaani zitakuwepo hata zile ZILIZOHARIBIKA kidogo.
mi nazitaka hivyohivyo, HATA KAMA ya kuazima
PLIZzz
Kubwa zaidi au ndogo kidogo????Kama hutojali nikuazime yangu nilisha acha kuitumia baada ya kupata mpya.
Hahahaha huyo mzee mwenzangu yuko bize na waraka pendwa. Siwezi kumruhusu, atauza ushahidi.
ha ha ha ha ha mie kwa kwel pin ndogo mwache atafute pin kubwa hzo hzo
Kwa sasa natumia kubwa kidogo zaidi ya ileKubwa zaidi au ndogo kidogo????
Mhhhh!!!hongera aisee.Yangu itakuwa ndogo haikufaiKwa sasa natumia kubwa kidogo zaidi ya ile