Natafuta Chaja, Pin Kubwa

Natafuta Chaja, Pin Kubwa

mzee watu wamekuaje una mpaka power bank?
Kwa ajili ya mambo ya dharura, sikuwa na namna. Nikajichukulia power bank tayari kwa vita wakati wowote.

Tanesco hawatabiriki
 
Mtafiti hebu naomba samare kidogo, nini kinajiri mahali hapa???
kuna mrembo charger aliokuwa anatumia haifany kaz vzur so ikaonekana charger yako mzee mwenzangu itasaidia kurudsha mawasiliano hewan...
shida muomba charger alikimbia hyo siku ulioenda na stop watch Raimundo njoo utoe maelezo hapa
 
Kumbe ni yuleyule... mwambie akae kando, charger iko bize na wenye shida za ukweli.
 
Jamani nilikuwa na simu yangu smartphone, ni nzuri ila haikai na chai, dakika chache tu iko hoi

Hadi ilifikia wakati ambapo nahitaji kujipumzisha na simu yangu lakini haina chaji hata ya dakika 5

Nataka ninunue zile za zamani ngangari zinazokaa na chaji hadi siku 7!!!

Pliz yeyote mwenye chaja ya PIN KUBWA anitafute, mi nakosa raha huku kwa sababu ya chaji.

Pliz help me, Am dying with a thirsty of RELIABLE service!

Pin ndogo haitoshi kwenye lile tundu la pin kubwa

Na madukani nimepita hawana.

najua mtaani zitakuwepo hata zile ZILIZOHARIBIKA kidogo.

mi nazitaka hivyohivyo, HATA KAMA ya kuazima

PLIZzz
Kwa Ava

Kwa Avatar hyo kweli pini ndogo haitoshi kwenye tundu kubwa,mtaani zipo ila kuzipata kazi na unaweza kupata ikawa haina nguvu za kutosha!Tafuta kiu ya reliable service itaisha mkuu!
 
mbona mimi nikisoma aya maelezo ya mleta uzi kiundani zaidi naona kama hazungumzii chaja mlizozielewa nyie!!! ona nikimcot apa "Pin ndogo haitoshi kwenye lile tundu la pin kubwa".
aaahhh... sio kwamba anamanisha vibamia havimtoshi kweli anataka dushe la maana!!?? hahahahahahaaa embu fikiria na wewe in three dimension apo utamuelewa fresh. Ngastuka aisee hii fursa kabisa hii embu ngoja nihamie pm [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom