Natafuta Chaja, Pin Kubwa

Hiyo sio smartphone tena! Ishakuwa laptop,labda uagize kutoka congo...
 
Ukuje pande hii nikuazime ya kwangu..
 
Dah watu wanajua asee. Nimeipenda hio
 
Vijana wengi wanapenda sana post kama hizi. Very soon utapata charger kubwa.

Lakini wewe ni hatari sana, umejiunga January 3, 2017 lakini unakwenda kasi sana, wewe ni kama mabasi ya mwendo kasi. Vipi yule mdau wako wa "sekunde tano" hana charger kubwa?

Ikimbie zinaa "FakeGirlNaomi".
 
Tatizo ni charge au charge system ndo kubwa kuliko charge
 
mkuu ushaambiwa Asprin ana chaja ya pin kubwa mpaka power bank japokua sjui aliesema hayo aliona wap so bibi alijiongeza tu hapa itakula kwake
Mtafiti hebu naomba samare kidogo, nini kinajiri mahali hapa???
 
Asprin ndo kila kitu ana pin kubwa, ana chaja ya kobe na.power bank
Mwalimu wangu na msiri wangu.... huyu ndiye yule uliyenipa au ni toleo jipya??

Hebu mwangalie vizuri simu anayotumia, nahofia chaja yangu isije ikalipua simu ya watu.

Na simu ikilipuka, chaja yangu haitakuwa salama. Waliozoea kutumia chaja yangu watanilaumu sana, nami sipendi lawama kuliko fedheha.
 
ha ha ha hilo umesema wewe mie ubongo wangu tu uliwaza kwa sauti uzur ndugu yangu Asprin atasema ilikuaje akauza raman ya vita
Sijauza ramani yoyote, kuna mtu anataka kutuchonganisha??
 
mkuu ushaambiwa Asprin ana chaja ya pin kubwa mpaka power bank japokua sjui aliesema hayo aliona wap so bibi alijiongeza tu hapa itakula kwake
Anaitaka chaja yangu kuchajia kwa kuiazima au anataka kuinunua kabisa?? Kama kuinunua mwambie amepotea njia, kuna simu kibao zinaitegemea chaja yangu. Sipendi wenye simu zao watoke hewani sababu ya ubinafsi wa mtu mmoja.

Nimemaliza
 
mi nazitaka hivyohivyo, HATA KAMA ya kuazima

Anaitaka chaja yangu kuchajia kwa kuiazima au anataka kuinunua kabisa?? Kama kuinunua mwambie amepotea njia, kuna simu kibao zinaitegemea chaja yangu. Sipendi wenye simu zao watoke hewani sababu ya ubinafsi wa mtu mmoja.

Nimemaliza
Amesema hata kuazima sawa tu
 
Aliingia mitini huyu mwathirika wa chaji...

Si kila chaji ni ya kujaribia simu yake... nadhani aliogopa italipuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…