balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Dec 14, 2016 #1
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Dec 14, 2016 Thread starter #2 Kama una connection nistue tuyajenge
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Dec 14, 2016 #3 Sijuwi kama kwenye ngano kunabaki kitu zikisagwa. Maana kuna ule unga wa atta. Kwanini usiende kwenye viwanda vya Bakhresa na Azania, nijuavyo hao ndiyo wasagaji wakubwa wa ngano Tanzania.
Sijuwi kama kwenye ngano kunabaki kitu zikisagwa. Maana kuna ule unga wa atta. Kwanini usiende kwenye viwanda vya Bakhresa na Azania, nijuavyo hao ndiyo wasagaji wakubwa wa ngano Tanzania.
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Dec 14, 2016 Thread starter #4 FaizaFoxy said: Sijuwi kama kwenye ngano kunabaki kitu zikisagwa. Maana kuna ule unga wa atta. Kwanini usiende kwenye viwanda vya Bakhresa na Azania, nijuavyo hao ndiyo wasagaji wakubwa wa ngano Tanzania. Click to expand... Nataka niwapate watu wa Bakhresa humuhumu,sitaki kwenda kiwandani bila uhakika.Asante Faiza kwa mawazo mazuri.
FaizaFoxy said: Sijuwi kama kwenye ngano kunabaki kitu zikisagwa. Maana kuna ule unga wa atta. Kwanini usiende kwenye viwanda vya Bakhresa na Azania, nijuavyo hao ndiyo wasagaji wakubwa wa ngano Tanzania. Click to expand... Nataka niwapate watu wa Bakhresa humuhumu,sitaki kwenda kiwandani bila uhakika.Asante Faiza kwa mawazo mazuri.
Danpol JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 5,727 Reaction score 8,918 Dec 14, 2016 #5 balibabambonahi said: Nataka niwapate watu wa Bakhresa humuhumu,sitaki kwenda kiwandani bila uhakika.Asante Faiza kwa mawazo mazuri. Click to expand... Una uhakika n chenga? manake sidhan kama hiyo kitu ipo...
balibabambonahi said: Nataka niwapate watu wa Bakhresa humuhumu,sitaki kwenda kiwandani bila uhakika.Asante Faiza kwa mawazo mazuri. Click to expand... Una uhakika n chenga? manake sidhan kama hiyo kitu ipo...
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Dec 14, 2016 Thread starter #6 Ni ile inayobaki baada ya kukoboa,nimeweka picha hapo juu.
A akazuba JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 533 Reaction score 484 Dec 14, 2016 #7 Sina hakika kama unakijua unachokitafuta!