Natafuta chenga za ngano zinazibaki baada ya kukuboa ngano

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
15,771
Reaction score
14,294
IMG-20161211-WA0000.jpg
 
Sijuwi kama kwenye ngano kunabaki kitu zikisagwa. Maana kuna ule unga wa atta.

Kwanini usiende kwenye viwanda vya Bakhresa na Azania, nijuavyo hao ndiyo wasagaji wakubwa wa ngano Tanzania.
 
Nataka niwapate watu wa Bakhresa humuhumu,sitaki kwenda kiwandani bila uhakika.Asante Faiza kwa mawazo mazuri.
 
Ni ile inayobaki baada ya kukoboa,nimeweka picha hapo juu.
 
Back
Top Bottom