balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka niwapate watu wa Bakhresa humuhumu,sitaki kwenda kiwandani bila uhakika.Asante Faiza kwa mawazo mazuri.Sijuwi kama kwenye ngano kunabaki kitu zikisagwa. Maana kuna ule unga wa atta.
Kwanini usiende kwenye viwanda vya Bakhresa na Azania, nijuavyo hao ndiyo wasagaji wakubwa wa ngano Tanzania.
Una uhakika n chenga? manake sidhan kama hiyo kitu ipo...Nataka niwapate watu wa Bakhresa humuhumu,sitaki kwenda kiwandani bila uhakika.Asante Faiza kwa mawazo mazuri.