Natafuta chumba cha kupanga karibu na Mlimani City

Ndo maana nasema huo ni wivu hapo nimeuliza swali au nimeomba ushauri au maoni...as I can see una stress za maisha.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hahaha, wewe jamaa kazi ya supermarket inasababisha uweze kuona nimepigwa na stress za maisha!

Uliza maswali ya maana
 
Hahaha, wewe jamaa kazi ya supermarket inasababisha uweze kuona nimepigwa na stress za maisha!

Uliza maswali ya maana

Wapi mimi nimeuliza swali?au hata kusoma hujui ndo unakurupuka....kwani wanaofanya kazi supermarket sio watu?unaishi maisha ya stress sana wewe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mjinga Sana huyu dogo. Eti mtaa wa kuishi anauliza, kweli? Halafu graduate wa Dar

Sent using Jamii Forums mobile app

Halafu humu jf kuna watu wanajifanya wana akili kumbe zero brain....Mimi nimeuliza mtaa wa kuishi? Soma vizur nilichokiandika sio kukurupuka

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wapi mimi nimeuliza swali?au hata kusoma hujui ndo unakurupuka....kwani wanaofanya kazi supermarket sio watu?unaishi maisha ya stress sana wewe

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mkuu kazi uliyopata kama ni kuuza duka unaweza ongea na bosi uwe unalala humo humo dukani ili usaidie kulinda mali.

Otherwise hakuna graduate wa Chuo mwenye upungufu wa aina yako.
 
Mkuu kazi uliyopata kama ni kuuza duka unaweza ongea na bosi uwe unalala humo humo dukani ili usaidie kulinda mali.

Otherwise hakuna graduate wa Chuo mwenye upungufu wa aina yako.

Asante na jioni njema

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kaa hapo hapo Survey kuna rooms cheap sana wanakaa wanafunzi wa Ardhi, UDSM, Maji, na vyuo vingine. Sema ukimpata dalali mwambie wewe Mwanafunzi ila unataka room ya peke yako. Utapata ata ya 60 na wanapokea ata kwa miezi 3. Ukikaa kwa miezi 6 ukishakua umeongeza vitu ndio amia Tegeta uko utapata nyumba ata vyumba viwili.
 
Kakae Msewe patakufaa sana
 
Karibu kwangu Goba ukae bure. Ila uhakikishe asubuhi unafagia uwanja na kulisha nguruwe. Maana Nguruwe ndio biashara inaniweka mini hapa
 
Ubungo Maji/Kibo au Pale Riverside is the best siku ukikosa nauli unajisogeza hapo kama unafanya mazoezi tu kumbe mfukoni mia huna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…