Natafuta chumba cha kupanga karibu na Mlimani City


Asante kwa ushauri,nilikuwa nshapoteza imani na watu wa humu kumbe wapo ambao wapo vizuri


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usihishi kwa kuigiza sehemu inayokufaa wewe ni Changanyikeni,Makongo name survey. Ila Kama unataka kuigiza maisha nenda kaishi Sinza kwa watoto laini yaani mpaka wanaume wanatumia vipodozi vilivyopigwa marufuku ili wawe weupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quality ya mliman city n sinza ni tofauti, sinza pako classy sana. Huo uhuni ni upi uliambiwa ? Labda tuanzie hapo
 
Tafuta Chumba Sinza, Unaogopa kuliwa?
Vumilia
 
Halafu humu jf kuna watu wanajifanya wana akili kumbe zero brain....Mimi nimeuliza mtaa wa kuishi? Soma vizur nilichokiandika sio kukurupuka


Sent from my iPhone using JamiiForums
Dogo kubali tu umekunya, swali ulilouliza ni la kitoto sana na umejionesha kuwa wewe ni mtoto wa mama sana, huwezi kusoma Dar miaka 3+ then uje na swali km hili lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unaitaji chumba maeneo yoyote dalali nipo hapa ,ila nakushauri usipange karibu na maeneo wanayoishi wanavyuo wengi, wizi ni mwingi ,harafu kodi zinakuwa zina flactuate mara kwa mara .Gharama za maisha zipo juu wanajua wanachuo wana hela,hivyo wanawapiga vitu bei.

Jiepushe na maeneo yenye starehe nyingi kama Sinza au huko Survey hako kamshahara kako ka laki 4. hakataona giza mbili.

Sehemu nzuri ya kupanga kwa mtu kama wewe ni Ubungo ,Tegeta ,Mikocheni hzo sehemu zote zinafikika kirahisi .

Kila la kheri kwenye ajira yako mpya.
 
Naweza pata chumba Master,Sebule na Jiko kwa 150K mbezi mwisho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah.. Hawa ndiyo magraduate wetu ..dah [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Mikocheni Chumba sebule jiko halafu kiwe self bei gani boss...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipo 300,000/= maeneo ya Heieneken mikocheni yaani kila kitu umeme unajitegemea na dirisha la kuteleza (slide window) ,jiko,vyumba vipo vitatu yaani kuna chumba sebure na kachumba kadogo unaweza ukamuweka house girl hako kachumba na store.
 
Kupitia uzi huu kuna wadau walionyesha kuwa serious wanataka vyumba maeneo mbalimbali toka jana ,nimekuja na full updates
1.Chumba single MSEWE 50,000/= kipo karibu na lichuo la Taifa UDSM na Chuo cha maji umbali wa dk 5 kwa mguu ,kina cealing board ,maji yapo,umeme kuchangia
2.Chumba single RIVERSIDE 50,000/= umbali dk 3 kutoka Mandela road
3.Chumba master RIVERSIDE 180,000/= umbali dk 10 kwa mguu kutoka Mandela Road full tires plus gypsum
4.Chumba KIBANDA CHA MKAA 80,000/= master full tires plus gypsum
5.Chumba na sebure MIKOCHENI 100,000/= maeneo ya Regence
6.Chmba Sebure TEMEKE -Kilwa road 70,000/= karibu na DUCE,TIA,Uhamiaji ,na chuo cha diplomasia chumba kipo umbali wa dk 15 kwenda kariakoo na hayo maeneo umeme unajitegemea,maji yapo,cealing board.
7.Chumba master KIMARA mwisho 100,000 mtaa wa matangini karibu na TRA umbali dk 30 kwa mguu kufika kituo cha mwendokasi.
8.Chumba master(3 rooms) mikocheni ,300,000/= umeme unajitegemea, slide window ,fence,parking
9.Chumba Sebure UBUNGO EXTERNAL 100,000/= umeme,maji,choo cha nje,fence no tires

Kama kuna mtu aliomba nimtafutie chumba jana sijamjibu anicheki tena chumba chenye parking majibu kesho asubuhi najuha kuna waliouliza.
 
Weka mawasiliano, tupo wengi tunahitaji hii huduma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…