Kwa mfano tegeta au wazo . maana kwa sasa nikaa bunju sitaki kwenda mbali sanaVipo unataka chumba wapi Dar Es salaam hii ???Ila hela hizo 30,0000/= unapata chumba ambacho hakina cealing board ukiwa unafny mambo yko chumba cha pili jirani anasikia.
50,000/= chumba kina cealing board ukibahatisha gypsum au tiles ,
Tegeta unapata cha 50,000/= single room ,unataka Tegeta mitaa gani kibaoni,nyuki,mbuyuni,Africana,interchick au mitaa ya kina King Zilla (R.I.P) kule Sala sala.???Kwa mfano tegeta au wazo . maana kwa sasa nikaa bunju sitaki kwenda mbali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbuyuni na kibaoni siwezi kipata hata 40 brooTegeta unapata cha 50,000/= single room ,unataka Tegeta mitaa gani kibaoni,nyuki,mbuyuni,Africana,interchick au mitaa ya kina King Zilla (R.I.P) kule Sala sala.???
40,000/= unapata ila chumba ni cha kawaida kama ww bishoo utaona unateseka,maana vyumba vya 40,000/= mazingira yake ni ya kibishi sana umeme uakuwa wakuchangia,population inakuwa kubwa,cealing board inaweza kuwepo au isiwepo , nyumba unakuta wapangaji wapo sita mpk kumi yaani fujo tu ukipika maharage yako ukumbini ukajisahau kidogo unakuta mpangaji mwenzako kapakua kibakuli kimoja .
Unataka chumba makumbusho nn?
40,000/= unapata ila chumba ni cha kawaida kama ww bishoo utaona unateseka,maana vyumba vya 40,000/= mazingira yake ni ya kibishi sana umeme uakuwa wakuchangia,population inakuwa kubwa,cealing board inaweza kuwepo au isiwepo , nyumba unakuta wapangaji wapo sita mpk kumi yaani fujo tu ukipika maharage yako ukumbini ukajisahau kidogo unakuta mpangaji mwenzako kapakua kibakuli kimoja .
Kifupi ni uswahilini fulani.
Huko chuo ulisomea nini?Hamna sio kuambukizwa uhuni...zile effects za uhuni zisijenipata
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Daaa hapo ukipika maharage mpangaj aje kupakua kibakuli kimoja[emoji23][emoji23][emoji23]
Nishawah kukaaa uswahilin nilijuta yaan ukipika ukimkaribisha mtu hakatai aisee daa yaan ukipika kiugal chako robo bora ule kimya kimya lkn ukijifanya kukaribisha watu hawakatai aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba number unitaftie room mikochenKama unaitaji chumba maeneo yoyote dalali nipo hapa ,ila nakushauri usipange karibu na maeneo wanayoishi wanavyuo wengi, wizi ni mwingi ,harafu kodi zinakuwa zina flactuate mara kwa mara .Gharama za maisha zipo juu wanajua wanachuo wana hela,hivyo wanawapiga vitu bei.
Jiepushe na maeneo yenye starehe nyingi kama Sinza au huko Survey hako kamshahara kako ka laki 4. hakataona giza mbili.
Sehemu nzuri ya kupanga kwa mtu kama wewe ni Ubungo ,Tegeta ,Mikocheni hzo sehemu zote zinafikika kirahisi .
Kila la kheri kwenye ajira yako mpya.
Bado kuna chumba masters na jiko ,tiles,gypsum ,maji yapo hapo hapo na kuna tank la maji,nyumba ipo kwenye fence mikocheni karibu na TMJ hospital.
Tahadhari :Nyumba haina parking na umeme wa kuchangia wapangaji wanne.
Kodi 120,000/= za kiTanzania.
Ni PM nmba yako nitakupigiaNaweza pata master na sebule yake? Around mikocheni, makumbusho, science, kijitonyama bei isizidi 150,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni PM yako nitakuchek
Hyo namba 5 mzee una uhakika nayo kwa hyo bei kwa eneo hilo?Kupitia uzi huu kuna wadau walionyesha kuwa serious wanataka vyumba maeneo mbalimbali toka jana ,nimekuja na full updates
1.Chumba single MSEWE 50,000/= kipo karibu na lichuo la Taifa UDSM na Chuo cha maji umbali wa dk 5 kwa mguu ,kina cealing board ,maji yapo,umeme kuchangia
2.Chumba single RIVERSIDE 50,000/= umbali dk 3 kutoka Mandela road
3.Chumba master RIVERSIDE 180,000/= umbali dk 10 kwa mguu kutoka Mandela Road full tires plus gypsum
4.Chumba KIBANDA CHA MKAA 80,000/= master full tires plus gypsum
5.Chumba na sebure MIKOCHENI 100,000/= maeneo ya Regence
6.Chmba Sebure TEMEKE -Kilwa road 70,000/= karibu na DUCE,TIA,Uhamiaji ,na chuo cha diplomasia chumba kipo umbali wa dk 15 kwenda kariakoo na hayo maeneo umeme unajitegemea,maji yapo,cealing board.
7.Chumba master KIMARA mwisho 100,000 mtaa wa matangini karibu na TRA umbali dk 30 kwa mguu kufika kituo cha mwendokasi.
8.Chumba master(3 rooms) mikocheni ,300,000/= umeme unajitegemea, slide window ,fence,parking
9.Chumba Sebure UBUNGO EXTERNAL 100,000/= umeme,maji,choo cha nje,fence no tires
Kama kuna mtu aliomba nimtafutie chumba jana sijamjibu anicheki tena chumba chenye parking majibu kesho asubuhi najuha kuna waliouliza.
Kipo kweli 100,000/= ondoa shaka kabisa .Hyo namba 5 mzee una uhakika nayo kwa hyo bei kwa eneo hilo?
Upepo ulikuwa unaendaje shekhe wangu?Dalali umebadili upepo wa uzi
Akijibu hili nitagKwa hiyo na wewe kwa umri wako huo utaambukizwa uhuni?
Kipo kweli 100,000/= ondoa shaka kabisa .