Natafuta chumba cha kupanga Mwenge - Makumbusho

bbbbbb

New Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwenge au Makumbusho.

Bei 40 to 60k kwa dalali naomba tuwasiliane tafadhali.
 
Hiyo bei tafuta pugu mwisho,mbezi luisi,tandale,mbagara,kigamboni,buguruni marapa,mnyamani,tabata dampo,kigogo,vingunguti,tandika,temeke mikoroshini,zakiemu,tabata segerea,mwanyamala,popo bawa magomeni na n.k.

Mwenge nyumba nyingi zipo juu tena chumba kimoja ugusi
 
Kumbe na simiyu kuna sehemu zinaitwa mwenge na makumbusho?
 
Hata mwenge ya Singida hupati chumba kwa bei hii
 
Mwenge ni kubwa sijajua mwenge unayoisema wewe ni mwenge ipi ya kukosa chumba cha elfu 60?
 
Mlalakua hapo vimejaa
 
Mwenge ni kubwa sijajua mwenge unayoisema wewe ni mwenge ipi ya kukosa chumba cha elfu 60?
Nenda rufungira hapo au mpakan , uliza boda boda madalali wa vyumba walipo watakupeleka, leo leo unapata
 
Mlalakua hapo vimejaa
Mlalakuwa sio Mwenge. Yeye anataka mwenge yaani road ya Africana ikutane na mwenge sokoni then irudi mpk mataa then Mpaka bamaga na kurudi mpk Africa sana. Hiyo ndio MWENGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…