M Melxcom991 Senior Member Joined Aug 2, 2021 Posts 101 Reaction score 115 Jan 24, 2025 #1 Viongozi nilikuwa naomba kama kunayeyote yule anajuwa sehemu kunachumba self kimoja mkoa wa shinyanga maeneo ya Ngokolo au majengo mapya. Chumba kiwe na tiles, maji,umeme, na kipo ndani ya uzio wa ukuta
Viongozi nilikuwa naomba kama kunayeyote yule anajuwa sehemu kunachumba self kimoja mkoa wa shinyanga maeneo ya Ngokolo au majengo mapya. Chumba kiwe na tiles, maji,umeme, na kipo ndani ya uzio wa ukuta
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 24, 2025 #2 All the Best
Mundele Makusu JF-Expert Member Joined Sep 28, 2021 Posts 2,488 Reaction score 3,481 Jan 24, 2025 #3 Cheza na madalali na wenyeji utapata Tu
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Jan 24, 2025 #4 Kila la kheri mkuu
makutupora JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 2,089 Reaction score 4,086 Jan 24, 2025 #5 "Mwenye nyumba yupo mkoaniiii! Halafu pale ni pazuri sana, hata umeme matumizi yao sio makubwa maana wote hawashindi pale" Wenje Dalali 😂
"Mwenye nyumba yupo mkoaniiii! Halafu pale ni pazuri sana, hata umeme matumizi yao sio makubwa maana wote hawashindi pale" Wenje Dalali 😂