Natafuta chumba kimoja self

Natafuta chumba kimoja self

Melxcom991

Senior Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
101
Reaction score
115
Viongozi nilikuwa naomba kama kunayeyote yule anajuwa sehemu kunachumba self kimoja mkoa wa shinyanga maeneo ya Ngokolo au majengo mapya. Chumba kiwe na tiles, maji,umeme, na kipo ndani ya uzio wa ukuta
 
"Mwenye nyumba yupo mkoaniiii! Halafu pale ni pazuri sana, hata umeme matumizi yao sio makubwa maana wote hawashindi pale" Wenje Dalali 😂
 
Back
Top Bottom