Melxcom991
Senior Member
- Aug 2, 2021
- 101
- 115
Viongozi nilikuwa naomba kama kunayeyote yule anajuwa sehemu kunachumba self kimoja mkoa wa shinyanga maeneo ya Ngokolo au majengo mapya. Chumba kiwe na tiles, maji,umeme, na kipo ndani ya uzio wa ukuta