Natafuta conection ya kununua Magari mabovu either kutoka Serikalini au Mashirika mbalimbali.

Natafuta conection ya kununua Magari mabovu either kutoka Serikalini au Mashirika mbalimbali.

Bull Striker

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
456
Reaction score
1,003
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.

Nlipata wazo lakununua hizi Landcruser double Cabin mbovu hasa hizi za Serikali ama kutoka Mashirika mbalimbali ya Uma... lakini kuagiza garii Mpya kama hii kutoka Japan kweli ntaishia kulipia Kodi bandarini na mtaji wangu utaishia Kwa Mjapan pia.

Ila sasa Nina ma brother na Marafiki huwa Wana zisuka Sana Pale Arusha hizi Gari na hata kuzigeuza kutumika na watalii.

Sasa kilicho nileta hapa kwenye hili Jukwaa nikuomba kupata Double Cabin body nzuriii ambayo haijachoka ya Landcruser.

Popote
Na Gari hizi ziko nyingi kwenye Office za Serikali na Mashirika mbalimbali na yanazidi kuharibika.Mwenye Mchongo tupeane.Ikibidi tuuziane haya Magari ila nacho tazama ni body isiwe imelika Sana na Kutu.

Pia lengo langu nikipata hizi Gari basi nipeleke Sehem nianze kusuka upya Kwa kutafuta kifaa kimoja kimoja mpaka litakapo kamilika tena.

Na mwenye uzoefu na hii Idea na wapi ntapata utatuzi basi anicheki Inbox?

Asanteni Sanaa
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom