Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Nenda Chamazi Azam, omba kufanya nao mazoezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpigie masau bwire atakupokeaMimi ni kijana wa miaka 19, Nina kipaji kikubwa Cha kucheza mpira wa miguu, urefu wangu ni futi7 na uzito wa 73kg, npo Temboni-KIMARA
Naombeni msaada wenu wadau
Shulen kwako vip hukucheza? Nenda pale Yanga mtafute Said Maulid,atkufanyisha interview halafu ulate mrejeshoNimecheza sana mpira mtaani, ndondo kama zote ila nilistopisha kdog sababu ya skuli, so now natafuta sehemu ya kutokea
Shulen kwako vip hukucheza? Nenda pale Yanga mtafute Said Maulid,atkufanyisha interview halafu ulate mrejeshoNimecheza sana mpira mtaani, ndondo kama zote ila nilistopisha kdog sababu ya skuli, so now natafuta sehemu ya kutokea
Kama unaona haiwezekani, sio mbaya
Asante kwa ushauri wakoNenda mo arena pale bunju b.
Kuna siku simba b uwa wanafanya mazoezi.
Ongea na mwalimu akupe mpira uoneshe makali yako.
Nenda kajifunze ubondia...uchezee vitasa, Mpira hapana...!!? 73Kg!!?Mimi ni kijana wa miaka 19, Nina kipaji kikubwa Cha kucheza mpira wa miguu, urefu wangu ni futi7 na uzito wa 73kg, npo Temboni-KIMARA.
Naombeni msaada wenu wadau
Pale jangwani au wap kiongz?Shulen kwako vip hukucheza? Nenda pale Yanga mtafute Said Maulid,atkufanyisha interview halafu ulate mrejesho
Nimekupata mkuujaribu kuomba kushiriki mazoezi, kwenye academy za Azam au timu za kati za ligi kama unauwezo stahili ni rahisi kuchukuliwa chamsingi uwe na stamina, uelewa wa position unayocheza, maamuzi sahihi ukiwa na mpira pia uelewa wa majukumu ya namba yako......
Futi sabaMiaka 19 kilo 73? una urefu gani labda?
Pamoja kakajaribu kuomba kushiriki mazoezi, kwenye academy za Azam au timu za kati za ligi kama unauwezo stahili ni rahisi kuchukuliwa chamsingi uwe na stamina, uelewa wa position unayocheza, maamuzi sahihi ukiwa na mpira pia uelewa wa majukumu ya namba yako......
Sasa namba za Masau Bwire napata wp kiongoziMpigie masau bwire atakupokea
OkNenda Chamazi Azam, omba kufanya nao mazoezi
😂😂😂Mbona umri mdogo kilo Nyingi...??
Punguza kilo then njoo nikupe interviewLengo langu nitoboe mpaka ligi kuu maana uwezo wa kusakata kabumbu ninao
Unapatikana wp?Punguza kilo then njoo nikupe interview