Natafuta Connection za kucheza mpira

jaribu kuomba kushiriki mazoezi, kwenye academy za Azam au timu za kati za ligi kama unauwezo stahili ni rahisi kuchukuliwa chamsingi uwe na stamina, uelewa wa position unayocheza, maamuzi sahihi ukiwa na mpira pia uelewa wa majukumu ya namba yako......
 
Nimecheza sana mpira mtaani, ndondo kama zote ila nilistopisha kdog sababu ya skuli, so now natafuta sehemu ya kutokea
Shulen kwako vip hukucheza? Nenda pale Yanga mtafute Said Maulid,atkufanyisha interview halafu ulate mrejesho
 
Nimekupata mkuu
 
Pamoja kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…