Natafuta dada wa hiari

Natafuta dada wa hiari

mambo vipi mkuu?. mbona umepotea sana? fanya mpango jmosi tukutane kozi ntakuja maeneo ya huko kitaa kwenu. nambie mida gani utakua home. mia

unakuja sangapi jombaa? bado nipo hadi muda huu, sijui kama ratiba itabadilika.
 
unakuja sangapi jombaa? bado nipo hadi muda huu, sijui kama ratiba itabadilika.
nipo hapa k/koo kuna kimvuamvua kinanyesha. so sijui ka ntafika huko juu. hata hivyo hujanambia mapema kama utakuwepo. so nlipoona kimya nikajua utakua busy. ntakucheck kwenye simu baadae mkuu. mia
 
Duh!me dada wa hiyari nipo,sifa zote ninazo kasoro sauti na sura,so sijatimiza vigezo na masharti,embu zikibaki nafasi na mie nipewe nafasi kwenye ufalme wa 100 lol.
 
Back
Top Bottom