Natafuta dada wa hiari

Natafuta dada wa hiari

haya umenipata jamani...dada nipo tayari...ila napenda kujua umri wako ili nijue nitakua dada wa hiyari au mdogo wako wa hiyari.............


kwani wewe una miaka mingapi? ukiweza kutaja miaka yako hapa ntakuambia kama wewe ni mkubwa au mdogo. hata ukiwa mdogo wangu wa kike wa hiari hamna tatizo. Nacho taka ni undugu tu basi. but sipendi micharuko, yaani napenda mtu aliye tulia mwenye mawazo ya kujenga sikubomoa. mia
 
Habari yenu mmu.Mimi natafuta dada wa hiari. Anaye jiskia mimi nimuite dada anakaribishwa. Lakini anatakiwa awe na tabia nzuri, mcheshi, adabu, sura nzuri na sauti nzuri. Vile vile awe na uwezo wa kunifundisha njia inayo paswa. wale madada mapepe wasinipm. wala kunitumia email. Mimi napenda mziki, kuogelea, kuangalia movie za action na zile za kutisha mfano wrong turn. Sijasema madada wanao kunywa pombe wana tabia mbaya na sija sema walokole ndo nawataka tu. Mimi atakaye nifurahisha poa. mia

Naomba ufafanuzi kama hutamaindi...................hapa sijaelewa kitu wanaJF
 
Haya wa-dada , kaka wa hiyari huyo hapo, undugu si kuzaliwa pamoja , undugu ni pamoja na kufahamiana na kuelewana na kusaidiana. Rafiki wa leo ndio ndugu wa kesho. Kila la kheri mzee wa 100 !

hajataja ex-wavuta bangi so nime disqualify.
 
Kweli! Nashkuru kusikia hivyo, Madame B kakubadilikia kivipi, hebu nipm haraka nijue tatizo ni nini, yule toto letu bonge hajambo, ni mtundu balaa, mia
Mpe hi! sana dogo. mwanao mchangamfu sana. Madame B bana kanipotea kabisaa!!. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom