Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
mambo vipi mkuu?. mia
Mambo shwari.
Vipi ulifinikiwa? umeshapata huyo mdada au wadada wa hiari?
Mbona hujaleta updates pengine na wengine watakuwa interested.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mambo vipi mkuu?. mia
haya umenipata jamani...dada nipo tayari...ila napenda kujua umri wako ili nijue nitakua dada wa hiyari au mdogo wako wa hiyari.............
Mambo shwari.<br />
<br />
Vipi ulifinikiwa? umeshapata huyo mdada au wadada wa hiari?
Mbona hujaleta updates pengine na wengine watakuwa interested.
mkuu dada sio mke. hiyo nmeisikia kwako. mia
Habari yenu mmu.Mimi natafuta dada wa hiari. Anaye jiskia mimi nimuite dada anakaribishwa. Lakini anatakiwa awe na tabia nzuri, mcheshi, adabu, sura nzuri na sauti nzuri. Vile vile awe na uwezo wa kunifundisha njia inayo paswa. wale madada mapepe wasinipm. wala kunitumia email. Mimi napenda mziki, kuogelea, kuangalia movie za action na zile za kutisha mfano wrong turn. Sijasema madada wanao kunywa pombe wana tabia mbaya na sija sema walokole ndo nawataka tu. Mimi atakaye nifurahisha poa. mia
Haya wa-dada , kaka wa hiyari huyo hapo, undugu si kuzaliwa pamoja , undugu ni pamoja na kufahamiana na kuelewana na kusaidiana. Rafiki wa leo ndio ndugu wa kesho. Kila la kheri mzee wa 100 !
mkuu dada sio mke. hiyo nmeisikia kwako. mia
Wewe ni zaidi ya dada. Naongeza options kama ukiniudhi nipate wa kunibembeleza. miakaka figganigga,mimi dadayako wa damu nipo hapa huyo wa hiyari wamtaftia nini?
ukiona hujaelewa jua haikuhusu. miaDuu.. huu uzi sijaulewa !!!!!!
kwa sababu ninao madada humu tayari watakusaidia.copy kwa Kijino na Passion Lady. miaNaomba ufafanuzi kama hutamaindi...................hapa sijaelewa kitu wanaJF
poa poa. miaSawa kabisa nilivyosema - kuwa na dada ni majaliwa ya Mungu. Yeye Mungu ndiye anayejalia wazazi wako wampate dada yako.
kwa sababu ninao madada humu tayari watakusaidia.copy kwa Kijino na Passion Lady. mia
Wewe ni zaidi ya dada. Naongeza options kama ukiniudhi nipate wa kunibembeleza. mia
Asante dada. mimi nafanya kazi kwa bidii wala sio mkorofi na kila jumapili nakua zangu kanisani. ntafurahi sana kama na wewe ni mcha Mungu.
Nimefurahi sana. mia
mzima wewe? missing you!Yule mama aliyeachika uliyekuwa unamtafuta hukumpata?
kwa hiyo wewe ikiniudhi unataka nisipate hata wa kunipa pole? Mia.mimi ni zaidi ya dada?nikikuudhi upate wa kukubembeleza?staki maneno na loya wangu fafanua hizo kauli.mia!