nipo hapa k/koo kuna kimvuamvua kinanyesha. so sijui ka ntafika huko juu. hata hivyo hujanambia mapema kama utakuwepo. so nlipoona kimya nikajua utakua busy. ntakucheck kwenye simu baadae mkuu. mia
Duh!me dada wa hiyari nipo,sifa zote ninazo kasoro sauti na sura,so sijatimiza vigezo na masharti,embu zikibaki nafasi na mie nipewe nafasi kwenye ufalme wa 100 lol.