Natafuta Dalali wa Frame Arusha Mjini

Natafuta Dalali wa Frame Arusha Mjini

Mowwo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2015
Posts
1,083
Reaction score
1,628
Habari wakuu,

Natafuta dalali yeyote wa kunitaftia frame Arusha, maeneo ya mjini kama Standkuu, kkoo, chini ya mti, jogoo, stand ndogo, Mnazi Mmoja...nk.

Kwa yeyote mwenye connection tuchekiane DM au share namba hapa.

Natanguliza shukrani
 
Bado Nawasubiri mkuu
 
Unataka ufanye biashara gani?? Ili tujue tunaipata wapi
Kwasababu mitaa imegawanyika kwa biashara tofauti. Natafuta mitaa ile wanauza vitu vya dukani, au mitaa wanauza nguo/viatu.
Sitafuti ile mitaa wanayouza hardware
 
Nilitaka ni-copy na ku-paste kwenye group la watu wa Arusha. Nikafkiria mtu atoke kwenye group akufate mpaka JF DM nikajikuta naacha ku-copy na ku-paste huko. Kila la heri mkuu.
 
Back
Top Bottom