Jamani naomba mnisaidie ivi dawa sahihi/bora ya constipation ni ipi??
Yaa ni dawa mkuu.Ila nina amini ukizingatia kunywa maji ya kutosha na vyakula vyenye roughage kama nanasi na mboga za majani hautohitaji hiyo dawaThanks.. bt Duuh hpo mwisho sijakusoma.. hiyo ni jna la dawa sio?
Yanasaidia gut movements na relaxation ya anal sphinctersThanks sana, hilo jambo la kufanya mazoezi ndio naliskia leo sikuwanafahamu.
Kunywa juisi ya Ukwaju..Jamani naomba mnisaidie ivi dawa sahihi/bora ya constipation ni ipi??
kanunue DUCOLAX ni nzuri zaidiJamani naomba mnisaidie ivi dawa sahihi/bora ya constipation ni ipi??
hahaha, hilo jina limeniacha hoi,..halo ya punda..hahatafuta mbegu zinaitwa "Halo Ya Punda" kama sijakosea.... hizo zipo kama karanga ukimeza punje moja tu!!!! Habari yake utakuja kufungua uzi mwingine wa kutoa ushuhuda wa shughuli utakayoipata.....
heheheh... ukienda katika duka la tiba asilia lolote lile iyo kitu wanaifahamu uzuri kabisa...hahaha, hilo jina limeniacha hoi,..halo ya punda..haha
hahah, nitaitafuta, coz na mm nina sumbuliwa na hyo shida most of tym mpk nilazwe nipate drip za vitamin b complex na vidonge vya ducolaxheheheh... ukienda katika duka la tiba asilia lolote lile iyo kitu wanaifahamu uzuri kabisa...
All da best... ila hakikisha siku utakayomeza iyo Dawa hautakua na mzunguko wowote!!hahah, nitaitafuta, coz na mm nina sumbuliwa na hyo shida most of tym mpk nilazwe nipate drip za vitamin b complex na vidonge vya ducolax
tafuta mbegu zinaitwa "Halo Ya Punda" kama sijakosea.... hizo zipo kama karanga ukimeza punje moja tu!!!! Habari yake utakuja kufungua uzi mwingine wa kutoa ushuhuda wa shughuli utakayoipata.....