Natafuta dawa/ufumbuzi wa constipation(kukosa choo)

Black7

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
367
Reaction score
116
Habari zenu wakuu,

Jamani naomba mnisaidie, hivi dawa sahihi/bora ya constipation ni ipi?? Maana nina tatizo hilo kwa muda sasa.

Nitashukuru mkinisaidia.
 
Jamani naomba mnisaidie ivi dawa sahihi/bora ya constipation ni ipi??

Nanasi inasaidia sana maana ina fibers za kutosha

Isipofanya kazi kanunue Lactulose (branded kama Osmolax)
 
Thanks.. bt Duuh hpo mwisho sijakusoma.. hiyo ni jna la dawa sio?
 
Yaa ni dawa mkuu.Ila nina amini ukizingatia kunywa maji ya kutosha na vyakula vyenye roughage kama nanasi na mboga za majani hautohitaji hiyo dawa

Epuka vyakula vyenye ngano
 
Pw pw.. #asante
 
Jamani naomba mnisaidie ivi dawa sahihi/bora ya constipation ni ipi??
Kunywa juisi ya Ukwaju..

UKWAJUISI.jpg
 
tafuta mbegu zinaitwa "Halo Ya Punda" kama sijakosea.... hizo zipo kama karanga ukimeza punje moja tu!!!! Habari yake utakuja kufungua uzi mwingine wa kutoa ushuhuda wa shughuli utakayoipata.....
 
hahaha, hilo jina limeniacha hoi,..halo ya punda..haha
 
Mm pia nimesumbuiwa na hiyo shida ya conspation. Dawa yake n kunywa maji sana na kabichi kwa wingi nalainosha mambo yanakuwa sawa kabisa
 
heheheh... ukienda katika duka la tiba asilia lolote lile iyo kitu wanaifahamu uzuri kabisa...
hahah, nitaitafuta, coz na mm nina sumbuliwa na hyo shida most of tym mpk nilazwe nipate drip za vitamin b complex na vidonge vya ducolax
 
All da best... ila hakikisha siku utakayomeza iyo Dawa hautakua na mzunguko wowote!!
 
tafuta mbegu zinaitwa "Halo Ya Punda" kama sijakosea.... hizo zipo kama karanga ukimeza punje moja tu!!!! Habari yake utakuja kufungua uzi mwingine wa kutoa ushuhuda wa shughuli utakayoipata.....

Mkuu hiyo kitu usipime nilinunua maduka flani ya kiswahili pale kariakoo shuguli yake niliona sikutoka ndani maana ilikwangua kila kitu nadhani sumu ziliisha
 
Back
Top Bottom