Natafuta dawa ya kusafisha damu, inaitwa SAFI

Natafuta dawa ya kusafisha damu, inaitwa SAFI

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
1,802
Reaction score
283
Msaada aisee,

Nahisi nina sumu nyingi mwilini. Kuna bro hapa alisema kuna dawa inaitwa SAFI. HIyo dawa Inauzwa elfu 6 had elfu 12.
Anyone who knows? Mwili unawashwa, nilimezaga SP mara 4 mfululizo!
 
Mkuu Pasco_jr_ngumi usipopona na hiyo dawa uliyoelekezwa nitafute kwa wakati wako nitakupa dawa yangu ya kusafisha damu yako ukinitakanitafute kwa wakati wako.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Pole mkuu unapatikana wapi safi ipo ni pm kwa maelezo zaidi
 
Kama hujaipata inapatikana maduka ya dawa za asili kwa Morogoro ni duka la dawa za asili karibu na msikiti wa Kingo Masika na ni sh elfu tano tu.
 
Msaada aisee,

Nahisi nina sumu nyingi mwilini. Kuna bro hapa alisema kuna dawa inaitwa SAFI. HIyo dawa Inauzwa elfu 6 had elfu 12.
Anyone who knows? Mwili unawashwa, nilimezaga SP mara 4 mfululizo!

before hujanywa dawa ya kusafisha ddamu kwann usifanye detox ya kutumia matunda na mboga tu?
 
Msaada aisee,

Nahisi nina sumu nyingi mwilini. Kuna bro hapa alisema kuna dawa inaitwa SAFI. HIyo dawa Inauzwa elfu 6 had elfu 12.
Anyone who knows? Mwili unawashwa, nilimezaga SP mara 4 mfululizo!

Kusafisha damu ina maana ni kutua sumu na vitu visivyohitajika kwenye blood. So unatakiwa utumie ALOE VERA DETOXICATION product from FOREVER LIVING.
For details:
Reply with your phone number
Au nicheck on:
Email:shelbytheseeker@outlook.com
 
Me naitaji dawa ya kuongeza uume wangu mdogo .inch 6
 
Hii dawa inayoitwa safi kwa dar es salaam inapatikana?
 
Back
Top Bottom