Mildotty
JF-Expert Member
- Jun 29, 2016
- 278
- 198
Habarini wanajamvi,
Kama kichwa kinavijieleza, ninatafuta location nzuri inayofaa kwaajili ya kuweka biashara ya Duka la dawa Muhimu (Sio pharmacy) ambapo kumechangamka sana na sio mainroad-sio Barabara kuu (Iwe maeneo ya ndanindani) na nitapendelea zaidi ikiwa ni maeneo ya Kigamboni mfano Darajani, Cheka, mji mwema, Geza nk.. mwenye anafahamu eneo linalokosa huduma ya duka la dawa muhimu tafadhali naomba unijuze.
Natanguliza shukrani