Natafuta eneo/frame ya kuweka biashara ya duka la dawa muhimu (DLMDM) Dar es Salaam (Kigamboni)

Natafuta eneo/frame ya kuweka biashara ya duka la dawa muhimu (DLMDM) Dar es Salaam (Kigamboni)

Mildotty

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2016
Posts
278
Reaction score
198
Habarini wanajamvi,

Kama kichwa kinavijieleza, ninatafuta location nzuri inayofaa kwaajili ya kuweka biashara ya Duka la dawa Muhimu (Sio pharmacy) ambapo kumechangamka sana na sio mainroad-sio Barabara kuu (Iwe maeneo ya ndanindani) na nitapendelea zaidi ikiwa ni maeneo ya Kigamboni mfano Darajani, Cheka, mji mwema, Geza nk.. mwenye anafahamu eneo linalokosa huduma ya duka la dawa muhimu tafadhali naomba unijuze.

Natanguliza shukrani

IMG_1135.jpg
 
KABLA ya kutafuta location inabid uangalie eneo husika linaruhusiwa Kwa DLDM Kwa kigamboni ,nakushauri uende Kwa mfamasia wa wilaya ya kigamboni ili akuonyeshe location zinazostahili KUFUNGUA biashara husika then ndio uendelee na utaratibu wa kutafuta frame
 
Back
Top Bottom